KAMBI MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO BMH

Kambi ya uchunguzi na matibabu ya Moyo kwa watoto imeanza leo Septemba 26 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, ikishirikisha Madaktari Bingwa Bobezi wa Moyo wa Hospitali hiyo, wadau kutoka Shirika la One New Heart Foundation na kutoka nchini Marekani