Mkurugenzi Mtendaji wa BMH Dkt. Alphonce Chandika akimkabidhi tuzo maalumu Mwenyekiti wa Shirika lisilo la kiserikali la Tokushukai medical group la nchini Japan kutambua mchango wake katika kuanzisha huduma za upandikizaji wa Figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Dkt. Alphonce Chandika, Mkurugenzi Mtendaji BMH akizungumza na Waandishi wa habari katika hafla ya kuadhimisha miaka mitano ya Huduma za Upandikizaji Figo
Huduma ya Upandikazi Figo ikiendelea katika chumba cha Upasuaji-BMH
BMH YAZINDUA KIKOSI KAZI KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO
Moja wapo ya chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Benjamin Mkapa