Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kutolewa kwa huduma hiyo, Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katika hospitali hiyo, Dk.Wilfred Rutahoile amesema wameanza kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu na tayari wagonjwa 13 wamechunguzwa. “Wagonjwa hawa walikuwa wanasumbuliwa na matatizo ya kifua kwa muda mrefu na wamekuwa wakihudhuria kliniki hapa lakini bado maumivu…

Hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma kupitia Kurugenzi ya Huduma za Uuguzi imetoa elimu ya magonjwa ya moyo, figo pamoja na huduma za Ukunga wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Kimataifa ya “Uuguzi Sasa” inayolenga kuinua hadhi na muonekano wa kada ya Uuguzi. Katika uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo Waziri wa Afya, Maendeleo…

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo tarehe 08/01/2019 imeanza kufanya mafunzo ya sheria ya ununuzi wa umma na kanuni zake kwa watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Mafunzo hayo ya siku nne yanategemea kumalizika tarehe 11/01/2019. Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi cha Hospiali ya Benjamin Mkapa Bi. Helena Chitukuro alipokuwa akimkaribisha Mkurugenzi…

SUPPLY, INSTALLATION, TESTING, COMMISSIONING AND TRAINING OF VARIOUS DENTAL EQUIPMENTS AT BENJAMIN MKAPA HOSPITAL DODOMA http://bmh.or.tz/wp-content/uploads/2019/01/ADVERT-DENTAL-EQUIPMENTS.pdf

Hospitali ya Benjamini Mkapa imeadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya usafi wa mazingira katika Soko Kuu la Majengo jijini Dodoma pamoja na zoezi la uchangiaji damu katika viwanja vya damu salama vilivyopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Akizungumza na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo na wananchi waliojitokeza katika tukio hilo…

Hayo yameelezwa  leo jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt Alphonce Chandika, wakati akitoa salamu za Hospitali kwa washiriki wa matembezi ya hisani mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Saimon Odunga ambaye amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani ambayo kimkoa…

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndungulile ameonesha kuridhishwa na huduma bora za afya zinazotolewa na Hospitali ya kibingwa ya Benjamin Mkapa. Hayo yalibainishwa jana 28 Septemba, 2018 pale Naibu Waziri huyo alipofanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya kibingwa ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dodoma. “Nipo kwenye…

Hospitali ya kibingwa ya Benjamini Mkapa iliyopo jijini Dodoma imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wengine watatu tarehe 27 na 28 mwezi wa nane 2018 kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Japan.Hii ni mara ya pili kwa Hospitali hii kufanya zoezi hili kubwa na lenye tija kwa taifa ambapo awali zoezi hili lilifanyika kwa mgonjwa…

   Hospitali ya kibingwa ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dodoma imetoa msaada wa kiti chenye magurudumu (wheelchair) kwa mtoto Christopher Elias Masaka mwenye umri wa miaka kumi akitokea kijiji cha Mtitaa wilayani Bahi jijini Dodoma aliyelazimika kukatwa miguu yake yote kutokana na maradhi yaliyomkabili kwa muda mrefu. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dk….

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi miongozo ya Bodi ya udhamini katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyozinduliwa 22-06-2018  jijini Dodoma. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ( kulia ) akimkabidhi begi lenye vitendea kazi Mwenyekiti wa…

Copyright © 2018 - Benjamin Mkapa Hospital All rights reserved

Privacy Policy    |   Disclaimer   |    Sitemap