Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Benjamin Mkapa Hospital inapokea wagonjwa wa rufaa kutoka hopitali zote nchini, kwa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF wanatakiwa kuhakikisha wamepatiwa namba ya rufaa kwa hospitali au zahanati aliyotoka ili kuepusha usumbufu wakati wa kufanya usajili mapokezi.
BMH inapokea bima zifuatazo: NHIF, JUBiEE, AAR, STRATEGIES, YERPI MERKEZI na NSSF.
Hospitali ya Benjamin MKapa ni hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati inayomilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja.
Fika kwenye jengo la utawala sehemu ya mapokezi na uchukue number ya foleni kwenye mashine maalumu ya kuchukulia namba kaa kwenye foleni na usubiri kuitwa na muhudumu kwa ajili ya kujisajili.