Tangazo la Kozi Fupi ya Radiolojia

13 Aug, 2022

Kurugenzi ya Mafunzo na Tafiti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa inapenda kuwatangazia nafasi kwa wanafuzi wote watakaopenda kujiunga na kozi fupi ya radiolojia. Kozi hii itaanza kutolewa mwezi Oktoba 2022 na wataalamu wa radiolojia kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa. Aidha wanafunzi wote watakaopata nafasi kujiunga na kozi hii watapata nafasi kufanya mafunzo kwa vitendo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa yenye vifaa na mitambo ya kisasa.

Dondoo za Afya na Habari
Kula Mlo Kamili
Kula Mlo Kamili

Eat a combination of different foods, including fruit, vegetables, legumes, nuts and whole grains. A...

  View more
Usivute Sigara
Usivute Sigara

Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ya mapafu yako, uvutaji wa sigara unaweza sababisha matatizo ya...

  View more
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta

Fats consumed should be less than 30% of your total energy intake. This will help prevent unhealthy...

  View more
Kuendesha Gari.
Kuendesha Gari.

Unashauriwa kutokuendesha gari kila siku na wakati mwingine unatakiwa kutembea walau miguu yako na m...

  View more
Epuka ulevi wa Pombe
Epuka ulevi wa Pombe

There is no safe level for drinking alcohol. Consuming alcohol can lead to health problems such...

  View more