Magonjwa Ya Ndani
Idara hii ya magonjwa ya ndani inasimamiwa na daktari ingwa (specialist) aitwae Gloria Ameleck Ngajiro ambaye ni phycisian mkuu wa kitengo cha magonjwa ya ndani kama vile kisukari (diabetes), shinikizo la damu (blood pressure) na ngozi (dermatology).
Ndani ya hospitali ya benjamin mkapa ina madaktari bingwa watatu wanaohusika na magonjwa ya ndani kama vile Gloria Ameleck Ngajiro (mkuu wa kitengo), Elias Vicent Mayala (daktari wa magonjwa ya ngozi) na Anthony Gyunda (phycisian)