Mwanzo / Kurasa / Kliniki ya Magonjwa ya Saratani

Kliniki ya Magonjwa ya Saratani

Published on August 12, 2022

Kliniki ya Magonjwa ya Saratani inatoa huduma za dawa na Tiba Kemia (Chemotherapy) kwa wagonjwa waliobainika kuwa na ugonjwa wa Saratani na kubaini aina ya Saratani hiyo pamoja na hatua iliyofikia. 

Tiba ya Saratani inahusisha matibabu kwa njia ya drip au vidonge. 

Kliniki hii inashirikiana kwa ukaribu na idara mbalimbali ili kubaini aina ya saratani pamoja na hatua iliyofikia ili kutoa matibabu sahihi kwa mgonjwa.