Mwanzo / Kurasa / Afya ya Mtoto

Afya ya Mtoto

Published on August 14, 2022

IDARA YA TIBA NA AFYA YA MTOTO

 

HUDUMA ZITOLEWAZO

 

Tunafanya Uchunguzi, Matibabu na Ushauri kwa  watoto na vijana wa umri wa miaka 0-14.

 

1. Baadhi ya huduma za UCHUNGUZI.

 

Tunafanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali yanayoathiri Afya ya Mtoto;

 

  1. Afya ya Lishe
  2. Uchunguzi wa Magonjwa yanayoathiri Mfumo wa hewa
  3. Uchunguzi wa Magonjwa yanayoathiri Damu na Saratani kwa watoto
  4. Uchunguzi wa Magonjwa yanayoathiri  Moyo
  5. Uchunguzi wa Magonjwa yanayoathiri Afya ya akili 

 

  1. Baadhi za huduma za MATIBABU

 

  1. Matibabu ya watoto wenye magonjwa ya Moyo
  2. Matibabu ya Magonjwa yanayoathiri  Mfumo wa Chakula
  3. Magonjwa yanaathiri watotoNjiti na waliyopata shida kutokana na changamoto za uzazi.  
  4. Matibabu ya maginjwa yahusuyo mfumo wa damu na saratani. 
  5. Tiba na Huduma wezeshi kwa watoto wenye mtindio wa Ubongo na Kifafa. 
  6. Ufuatiliaji wa makuzi na ya mtoto kuanzia anapozaliwa mpaka anapofikia umri wa barehe.

 

Idara ya Afya ya Watoto ya Hospitali ya Benjamin Mkapa inao madaktari Bingwa na Bingwa bobezi na wataamu wenye uwezo wa kumhudumia mtoto kwa viwango vya juu vya ubora kwa ngazi za kimataifa.