Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na mtoto Elisha alienufaika na Huduma za Upandikizaji wa Uloto pamoja na mtoto Esther aliemchangia Elisha Uloto.
Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Upandikizaji wa Uloto katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.
Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia Hotuba ya Mgeni Rasmi Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Upandikizaji wa Uloto.
Huduma ya Upandikazi Figo ikiendelea katika chumba cha Upasuaji-BMH
BMH INAZINGATIA MAZINGIRA SAFI KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA NZURI KWA WANANCHI
Moja wapo ya chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Benjamin Mkapa