Je BMH inapokea wagonjwa wa rufaa?
Benjamin Mkapa Hospital inapokea wagonjwa wa rufaa kutoka hopitali zote nchini, kwa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF wanatakiwa kuhakikisha wamepatiwa namba ya rufaa kwa hospitali au zahanati aliyotoka ili kuepusha usumbufu wakati wa kufanya usajili mapokezi.