BMH YAIBUKA NA USHINDI WA VIKOMBE VITATU SHIMMUTA 2025
Dec 10, 2025

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeibuka kinara baada ya kujinyakulia jumla ya vikombe vitatu katika mashindano ya SHIMMUTA yaliyomalizika leo mkoan...

Soma Zaidi
KAMBI YA MATIBABU YA UPASUAJI WA MASIKIO PUA NA KOO INAYOENDESHWA NA MADAKTARI B...
Dec 10, 2025

Na Jeremia MwakyomaDODOMA - DISEMBA 4, 2025Akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya kuzindua kambi hiyo iliyoanza Disemba mosi na itakayokwenda ha...

Soma Zaidi
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI U...
Dec 05, 2025

Na  Jeremia Mwakyoma DODOMA - DISEMBA 2, 2025   Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Shirika la Hands...

Soma Zaidi
KAMSHNA TUME YA UTUMISHI WA UMMA AIPONGEZA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA KWA KUTOA...
Nov 20, 2025

Na. Jeremiah Mbwambo, Dodoma, 20/11/2025 Kamishna tume ya utumishi wa umma Bw. Hassan Kitenge ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao cha Ukaguzi wa...

Soma Zaidi
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa aanza kufanya tathimini ya kila...
Nov 19, 2025

Na. Jeremiah Mbwambo, Dodoma 19/11/2025 Leo Mkurugenzi Mtendaji Prof.  Abel Makubi ameanza kutembelea ofisi za wakurugenzi wake ili kufanya majadilian...

Soma Zaidi
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YA ANZA MATIBABU YA KUONDOA MAUMIVU SUGU YA MGONGO B...
Nov 19, 2025

Na. Jeremiah Mbwambo, Dodoma, 19/11/2025 Daktari Bingwa wa Ubongo na mishipa ya fahamu Hospitali ya Benjamin Mkapa Maxgama Ndosi ameeleza kuwa matibab...

Soma Zaidi
KAMBI MAALUM YA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA BMH YAZINDULIWA MKOANI RUVUMA
Nov 18, 2025

Na Jeremia Mwakyoma SONGEA, RUVUMA - NOVEMBA 17, 2025 Kambi Maalum ya Madaktari Bingwa Wabobezi wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto na Watu wazima kutoka H...

Soma Zaidi
BMH IKO MBIONI KUPATA MPANGO MKAKATI MPYA WA MIAKA MITANO
Nov 18, 2025

Na Jeremia Mwakyoma Picha Gladis Lukindo na Ludovick Kazoka Morogoro - Novemba 15, 2025   Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) iko mbioni kupata Mpango M...

Soma Zaidi
JAMII YAASWA KUWA NA UTARATIBU WA KUCHUNGUZA UGONJWA WA KISUKARI NA KUACHANA NA...
Nov 18, 2025

Na Jeremia Mwakyoma DODOMA - NOVEMBA 14, 2025 Jamii imeaswa kuwa na utaratibu wa kuchunguza Afya zao kubaini ugonjwa wa Kisukari na kuachana na tabia...

Soma Zaidi
MAADHIMISHO YA SIKU YA KISUKARI DUNIANI 2025
Nov 13, 2025

Hospitali ya benjamin mkapa yaadhimisha siku ya kisukari duniani 2025 kwa kufanya matembezi , kutoa elimu na kufanya uchunguzi na matibabu ya ugonjwa...

Soma Zaidi
BMH YAHITIMISHA KAMBI YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA NA ELIMU KWA WATUMISHI 98 WA WIZA...
Nov 12, 2025

Na Jeremia Mwakyoma MJI WA SERIKALI MTUMBA - DODOMA NOVEMBA 11, 2025   Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imehitimisha kambi ya uchunguzi wa magonjwa y...

Soma Zaidi
BMH YASHIRIKI KUTOA MAFUNZO NA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA KWA WATUMISHI WA...
Nov 10, 2025

Na Jeremia Mwakyoma  MTUMBA MJI WA SERIKALI - DODOMA NOVEMBA 10, 2025    Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imeshiriki kutoa mafunzo na uchunguzi wa ma...

Soma Zaidi