Magonjwa Ya Ndani

Idara ya magonjwa ya ndani na Mfumo wa Chakula inasimamiwa Dr. Gloria Amaleck Ngajilo aliyebobea katika matibabu ya Magonjwa ya ndani ikihusisha Mfumo wa chakula, Kiharusi, Shinikizo la Damu na Kisukari.

Idara hiyo huendesha Kliniki za Madaktari bingwa na Ubingwa bobezi kwa kufanya Uchunguzi na Matibabu siku nne za wiki yaani,  

  • Jumanne
  •  Alhamisi
  • Ijumaa na,
  • Jmamosi

Kliniki hizo huendeshwa kuanzia saa 09:00 Asubuhi hadi Saa 12:30 Jioni kwa siku tajwa.

Huduma za Uchunguzi hufanyika kwa wenye Afya ili kugundua magonjwa yaliyojificha, na kwa wenye Magonjwa Sugu kama Kisukari, Shinikizo la Juu la Damu, Upungufu wa Kinga Mwilini na Homa ya Inn ili kufuatilia mwenendo wa matibabu.

 

Dondoo za Afya na Habari
Kula Mlo Kamili
Kula Mlo Kamili

Eat a combination of different foods, including fruit, vegetables, legumes, nuts and whole grains. A...

  View more
Usivute Sigara
Usivute Sigara

Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ya mapafu yako, uvutaji wa sigara unaweza sababisha matatizo ya...

  View more
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta
Punguza Vyakula vyenye mafuta mafuta

Fats consumed should be less than 30% of your total energy intake. This will help prevent unhealthy...

  View more
Kuendesha Gari.
Kuendesha Gari.

Unashauriwa kutokuendesha gari kila siku na wakati mwingine unatakiwa kutembea walau miguu yako na m...

  View more
Epuka ulevi wa Pombe
Epuka ulevi wa Pombe

There is no safe level for drinking alcohol. Consuming alcohol can lead to health problems such...

  View more