Dira na Dhamira
Dira:
- Kuwa Hospitali ya kisasa yenye teknolojia ya juu inayojengwa juu ya sayansi mpya kwa ajili ya jamii yenye afya bora na maendeleo endelevu ya taifa.
Dhamira:
- Kutoa huduma maalum na za kibingwa za kinga, tiba, tiba ya kurekebisha afya, utafiti, ubunifu na mafunzo kwa kutumia teknolojia mpya.
Maadili ya Msingi
-
Mteja kuwa Kitovu cha Huduma na Huruma
-
Uadilifu
-
Roho ya Ushirikiano na Heshima
-
Uwazi na Uwajibikaji
-
Utoaji wa Huduma Bora za Juu
-
Usalama na Uangalizi