Mwanzo / Matukio / MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

23 Sep, 2024 09:00:00 UKUMBI WA BODI YA WADHAMINI-BMH
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

Hospitali ya Benjamin Mkapa itafanya mkutano na waandishi wa habari siku ya Alhamisi kuanzia saa tatu Asubuhi, Mkutano utahusu mwenendo wa kambi ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo kwa watoto inayoendelea Hospitalini hapo.