Mwanzo / Kurasa / Kliniki ya Magonjwa ya Dharura

Kliniki ya Magonjwa ya Dharura

Published on August 12, 2022

Article cover image

Kliniki ya Magonjwa ya Dharura inatoa huduma zote za dharura ikiwemo waathirika wa ajali na magonjwa mengine ya dharura.

Kliniki ina mpango wa kuanzisha huduma ya advanced life support kupitia ambulance (gari ya kubeba wagonjwa mahututi) na itamsaidia mgonjwa kupata huduma za dharura kabla ya kufika hospitali kwaajili ya matibabu.

Kliniki ina madaktari bingwa waliobobea katika kutoa huduma za dharura na kuokoa maisha ya mgonjwa.

Awali kliniki ilikuwa ikihudumia wagonjwa 60 kwa siku lakini kwa sasa kliniki inahudumia wagonjwa 250 hadi 300 kwa siku kulingana na uhitaji wa huduma.