BMH amekutana na uongozi wa EXIM Bank Tanzania
Published on February 11, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa BMH amekutana na uongozi wa EXIM Bank Tanzania ukiongozwa na Mtendaji wake Mkuu Ndugu Jaffari Matundu mjini Dodoma ili kufungua ukurasa wa Mashirikiano (Habari katika picha na J. Mwakyoma)