Mwanzo / Huduma Zetu / Watumishi wa Umma na sekta binafsi kuhudumiwa bure Mtumba

Watumishi wa Umma na sekta binafsi kuhudumiwa bure Mtumba

Published on August 02, 2024

Article cover image

Prof. Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mapema hii leo amefanya mahojiano maalum na azam tv kuhusu kambi ya madaktari bingwa itakayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumbua kuanzia Agosti 5, 2024 hadi Agosti 9, 2024.