Mwanzo / Kurasa / Huduma ya Chakula

Huduma ya Chakula

Published on August 14, 2022

Hospitali ya Benjamin Mkapa ina migahawa mitatu iliyopo katika maeneo mbalimbali ya Hospitali ambapo watu wanaweza kupata chakula na viburudisho vingine. Migahawa hiyo ipo katika ghorofa ya chini katika jengo la utawala, mgahawa mwingine upo ghorofa ya pili  na nyingine iko katika jengo la huduma za kijamii.