Mwanzo / Kurasa / Matibabu ya dharula

Matibabu ya dharula

Published on August 12, 2022

 

Idara ya Huduma za dharula katika Hospitali ya Benjamin Mkapa inatoa huduma zote za dharula na ajali ikiwemo kupokea wagonjwa na kuwafanyia uchunguzi na matibabu ya awali, wagonjwa waliyozidiwa, majeruhi wa ajali mbalimbali na walio mahututi.

Idara ya huduma za dharula katika Hospitali ya Benjamin Mkapa inao madaktari bingwa na wataalamu waliyobobea kutoa huduma za dharula.

Idara hii iko hufanya kazi masaa ishirini na nne siku saba za wiki.