Mwanzo / Kurasa / Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo

Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo

Published on August 12, 2022

Kliniki ya Masikio, Pua na Koo, ina vifaa tiba vya kisasa aina ya ‘Endoscopic instruments’ vifaa hivi, vimewezesha kuboresha huduma katika kliniki ya masikio, pua na koo ambapo inatoa huduma za Functional Endoscopic Sinus (FESS), Huduma za uchunguzi kwa kutumia vifaa hivyo, Upimaji wa usikivu, pamoja na kutoa na kupandikiza vifaa vya kusaidia usikivu (hearing aids).

Kliniki hii pia inatoa huduma za upasuaji wa matundu madogo kwa watoto na watu wazima.