Mwanzo / Kurasa / Saratani

Saratani

Published on August 12, 2022

Idara ya Magonjwa ya Saratani, ilianza kutoa huduma Januari 14, 2020, ikiwa na watendaji wawili ambao ni Daktari na Muuguzi.

Idara ya Saratani ilianza kwa kutoa huduma dawa za Tiba Kemia (Chemotherapy) kwa wagonjwa waliyobainika kuwa Saratani na aina ya Saratani hiyo kubainiwa, tiba hiyo inahusisha, dawa kwa njia ya Drip au Vidonge.

Idara hii huona wagonjwa wapya 5 kila siku, na huona kati ya wagonjwa 8-10 wa kuendelea.

Hadi kufikia Januari 2022, Idara ya Magonjwa ya Saratani imeona jumla ya wagonjwa wapya 961 na wanaoendelea wamefikia ………

Idara hiyo, imeendelea kusalia na watumishi wawili na mara chache hufika watutu.