Mwanzo / Kurasa / Kliniki Ya Macho

Kliniki Ya Macho

Published on August 12, 2022

Kliniki ya Magonjwa ya macho inatoa huduma kwa wagonjwa wenye matatizo mbalimbali ya macho, pia kliniki ya Magonjwa ya macho inatoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa ambao matatizo ya macho ambayo yanapaswa kufanyiwa upasuaji ili waweze kupona kwa ufasaha kabisa.

Kliniki ya Magonjwa ya macho inatoa huduma za miwani kwa wagonjwa  wenye shida na miwani. kliniki hii inatumia chombo maalum hadubini yenye uwezo wa kufanya uchunguzi na matibabu (operating microscope).