Mwanzo / Kurasa / Kliniki ya Magonjwa ya Watoto

Kliniki ya Magonjwa ya Watoto

Published on August 12, 2022

Kliniki ya magonjwa ya Watoto inatoa huduma zote za magonjwa ya watoto. Kliniki hii hutoa huduma kuanzia siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa tatu kamili asubuhi mpaka saa tisa kamili alasiri.

Kliniki hii pia hutoa huduma za kulaza watoto kwenye wodi maalum za watoto endapo mtoto atagundulika kuwa na tatizo linalohitaji kuwa chini ya uangalizi maalum wa madktari lakini pia kliniki hii hutoa huduma za upasuaji kwa watoto.

Kliniki inpokea wagonjwa wengi wa referral kutoka mikoa mbalimbali ya kanda ya kati.