Mwanzo / Kurasa / Kliniki ya Fiziotherapia

Kliniki ya Fiziotherapia

Published on August 12, 2022

Kliniki ya Fiziotherapia inatoa huduma za tiba ya utengemavu kwa watoto wenye ulemavu na utindio wa ubongo, watu wazima wenye kiharusi, mgongo, walioumia na kuumiza uti wa mgongo na shida za muda mrefu.

Kliniki hii inaeneo maalum kwaajili ya watoto, sehemu ya mazoezi na eneo maalum kwaajili ya viongozi pindi wanapoenda kupata matibabu.

Kliniki ina vifaa vya kisasa ambavyo vinasaidia kwa kiasi kikubwa kutoa huduma na wagonjwa kupona haraka.