Habari
HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA NA INTERBURNS YA UINGEREZA WAKUBALIANA KUBORESHA HUD...
Na. Jeremiah Mbwambo Picha na Jeremia Mwakyoma Oktoba 28, 2025 Hati ya makubaliano hayo imesainiwa jijini Dodoma katika Hospitali ya Benjamin Mkap...
Soma ZaidiTUJITOKEZE KUPIGA KURA OKTOBA 29
Na Ludovick Kazoka,Dodoma: OKTOBA 27 Wananchi wameombwa kujitokeza kutekeleza haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi katika uchaguzi mkuu unaofanyik...
Soma ZaidiKura ni haki yako ya kikatiba, nenda kapige kura
Kura ni haki yako ya kikatiba, nenda kapige kura.
Soma ZaidiBMH , UDOM NA TOKUSHUKAI -JAPAN kukamilisha taratibu za msaada wa tzs 28 billio...
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Prof. Abel Makubi ameuaga ujumbe wa Tokushikai toka Japan na kukubaliana kukamilisha taratibu zo...
Soma ZaidiWAGONJWA WENYE MAWE KWENYE MFUMO WA MKOJO WAKITOLEWA MAWE KWENYE FIGO SASA KUKAA...
Na. Jeremiah Mbwambo Picha na Jeremiah Mbwambo Dodoma Okt. 23, 2025 Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa mfumo wa mkojo Okoa Sukunala wakati...
Soma ZaidiMABORESHO YA HUDUMA ZA MAABARA BMH YAMEPUNGUZA RUFAA ZA WAGONJWA KWENDA HOSPITAL...
Na Jeremia Mwakyoma Picha na Gladys Lukindo DODOMA - OKT. 23, 2025 Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Soma ZaidiZingatia matumizi sahihi ya dawa
Na Ludovick Kazoka Picha: Jeremiah Mbwambo na Gladys Lukindo Dodoma - Septemba 25, 2025 Wakati Dunia ikiazimisha Siku ya Wafamasia leo, Hospitali ya B...
Soma ZaidiSHIRIKA LA KIMATAIFA LA NGUVU ZA ATOMIKI NA WHO WAFANYA TATHIMINI YA HUDUMA ZA M...
Na Jeremia MwakyomaPicha na Carine Senguji na Gladys LukindoDODOMA - SEPT. 23, 2025 Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki...
Soma ZaidiMUUGUZI WA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA AMEPENDEKEZWA KUWA MUUGUZI BORA WA MWAKA.
Kumpigia kura fuatisha kiunganishi huki; https://voting.ths.or.tz/?utm_source=chatgpt.com Kumbuka muuguzi bora wa mwaka jana ametoka Hospitali ya Benj...
Soma ZaidiTANZANIA YAPOKEA RASMI MRADI WA KIKANDA WA UPANDIKIZAJI ULOTO NA SAYANSI YA DAMU...
Na Jeremia MwakyomaDODOMA - SEPTEMBA 4, 2025 Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango ameshuhudia Serikali ya Tanzania kupitia Hospitali ya Benja...
Soma ZaidiSERIKALI KUGHARAMIA VIFAA TIBA KWA AJILI YA VITUO VYA UMAHIRI VYA TIBA SARATANI...
Na Ludovick KazokaDODOMA - SEPTEMBA 3, 2025 Serikali imekubali kugharamia vifaatiba katika Kituo cha Mafunzo na Matibabu ya Saratani na katika kituo c...
Soma ZaidiBMH YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA NA KUFANYA UPIMAJI AFYA KWA WAT...
Na Jeremia MwakyomaDODOMA - SEPTEMBA 10, 2025 Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) leo imeendesha programu ya utoaji elimu ya magonjwa yasiyo ya kuambuki...
Soma Zaidi